Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana JF, Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Anae jua nitapata wapi hii machine pamoja na bei yake anijulishe tafadhali. With much thanks in advance
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Karibuni wote dispensary inauzwa . Sekei Arusha umbali ni mt 100 sio ile barabara ya lami almashauri ni ile ingine ya ambayo ni rafu road . Bei ml 250 ,ni heka moja kamilifu napia ina hati zote ...
1 Reactions
6 Replies
631 Views
Sawa.. Shuka 2 foronya 2 Size 6*7 25,000 Shuka 2 foronya 2 6*6 22,000 Shuka 2 foronya 4 7*8 30,000 Mapazia yanaanza 50,000tsh Mpaka 120,000
1 Reactions
2 Replies
797 Views
Karibuni Tuwatengenezee saa za mkononi na za ukutani zenye sura yako Location Mbeya lakini Tunafanya delivery Nchi nzima. Mawasiliano +255762363062 Sent from my MX710 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
9 Replies
702 Views
Natafuta mtu wa kunishika mkono kwenye kuanza biashara.mtaji wangu ni mdogo tu kama 1,400, 000/=.sichagui biashara kikubwa iwe inaingiza tu ela. Matapeli kaeni mbali na hii post maana sijatoka...
3 Reactions
9 Replies
516 Views
Habari GStar publishers ni kampuni inayojihusisha na uchapaji wa vitabu, mabango, brochures na business cards kwa bei nafuu. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Jangwani au tupigie kwa simu. 0719682352...
0 Reactions
12 Replies
993 Views
Anatafutwa mpishi almaarufu wa pilau ya shughuli njoo hapa tutengeze dili.
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari… nauza zulia quality bado jipya limetumika kidogo sana kwa bei poa… tunaweza kuwasiliana dm kwa maelezo zaid
1 Reactions
5 Replies
529 Views
Kiwanja kinauzwa, kipo Bunju A Stand ya Shule. Ukubwa wa kiwanja ni mita 20 x mita 26, sawa na SQM 400(makadilio), Bei ni TZS Milioni 8. Eneo hili ni tulivu na lina mazingira mazuri. Kiwanja hiki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana. Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa...
3 Reactions
143 Replies
24K Views
Harrier inauzwa kwa bei ya shilingi 17m Engine capacity ni 23600 Km 93000 Ipo dar Piga 0698235368
2 Reactions
3 Replies
642 Views
Habari za wakati huu,leo nimewaletea bei ya seti upande wa CCTV camera kuanzia 4 mpaka 16. NB: Kila seti imebeba vifaa vyote vinavyohitajika kukamilisha mfumo wa CCTV ikiwemo na Monitor ndani yake...
12 Reactions
154 Replies
24K Views
Tuna Active Digital smart board kwa ajili ya kufundishia mashuleni wanahabari , mikutano au Semina mbalimbali WhatsApp 0652565597 Piga simu 0687391033 Ukubwa 75" inch Android version 8.8 Price...
0 Reactions
6 Replies
504 Views
Viwanja vilivyopimwa kwa makazi vinauzwa...Viko Gezaulole karibu na Islamic beach (Mita 920 toka beach).Bei ni 40,000 kwa square meter na utapatiwa hati yako bila gharama za ziada. Kwa kutembelea...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za leo, Tunauza viwanja vilivyopimwa kuanzia square meter 500 na kuendelea. Viwanja hivi vipo kigamboni Cheka, Mwasonga na Kimbiji. —Kwa Mwasonga square meter1 ni elf5 —Kwa cheka square...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Karibuni tuwahudumie katika ujenzi wa myumba zakisasa hata ramani za nyumba pamoja na structure zake
0 Reactions
4 Replies
914 Views
Katika uzi huu tutaweza kuona design mbalimbali za masofa ya kuvutia. Endapo utaipenda design hiyo kwa matumizi ya nyumbani utaweza kujichukulia mwenyewe na kuitafuta dukani au ukampatia fundi...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…