Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Marafiki ninatoa huduma za Uchapishaji pamoja na Upambaji kwenye sherehe na shughuli mbalimbali ziwe ni Kipaimara, Sendoff party, Wedding party, Birthday party, Seasonal party, Get together party...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Habari wadau, Naomba kuuliza kwa Dar naweza kupata wapi matofari ya kuchoma. Yeyote anayefahamu anijuze na gahara yake. Pia kama mnajua yale ya kuunga kwa Cement na yale ya kuchomeka, yapi ni...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Wanajamvi ukiwa na tipa kuanzia cubic meter 8cm hadi 15cm tunaweza fanya biashara aidha kwa cku,trip, dar au mikoani au vingineuyo unahitaji wewe tutakupa
0 Reactions
3 Replies
3K Views
natafuta mtu nayeuza huawei y 300
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Blackberry 8980 iko sokoni na accessories zake zote, imetumika kwa week moja tu, bei maelewano serious buyer ni pm
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Ipo dar..bei ni sh.3,70,000/= bado mpya.guarantee 1, year...ni pm kwa maelewano.Asante.
0 Reactions
4 Replies
927 Views
Viwanja vilivyopimwa zaidi ya 200 kwa ajili ya makazi, Taasisi na biashara vinauzwa. Viwanja viko Gezaulole - Kigamboni Dar es salaam Bei zinatofautiana kulingana ukubwa wa kiwanja. Kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa anayehitaj kununua nokia e7 ipo kwenye hali nzuri..but kwa sasa nipo bukoba
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jf poleni kwa shughuli, ujumbe ni kuwa nina DADA YANGU AMEMALIZA MASOMO YA UHUGUZI NGAZI YA CHETI/ CERTIFICATE ANATAFUTA KAZI KITUO AU HOSPITALI YOYOTE YA PRIVATE, NAOMBA MWENYE INFO ZOZOTE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hellow guys , mwenye machine ya ukweli na anaiuza nipe pm .. budget 4.5k ..isizidi hapo .. njoo pm tuone tufanye business !!
0 Reactions
1 Replies
653 Views
Heshima kwenu wakuu. Ama baada ya salamamu naomba nifikishe ombi langu kwenu. Kwa wale wenyeji na wanaopafahamu vizuri Singida mjini, naomba kuelekezwa swala hili. Ni duka gani wanauza simu za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu.!! Namshukuru Mungu nimeiona siku hii, mimi ni kijana wa kiume nina miaka 23 nina elimu ya kidato cha 6 nipo dar es salaam nikitokea mkoani Ruvuma-tunduru. Nimeshindwa kuendelea na...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Ni gorofa ya vyumba 3. Jiko dinning na sebule kubwa fensi na parking ipo. Umbali kutoka Barabara kuu ni 1.5km mawasiliano 0765033330
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Naomba kujua bei ya Lenovo Ideapad s300 laptop mpya kwa hapa Tz,ikiwezekana nipate na jina la duka linalouza nataka kununua soon. Pia nakaribisha ushauri juu ya aina hiyo ya laptop kwa...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Model: Lenovo G500 HardDisk: 500GB RAM: 2GB Processor Speed: Intel(R) Pentium(R) CPU B960 @ 2.20Ghz 2.20GHz Dual Core Memory Card Reader:Yes Webcam: Yes Bluetooth:No Supporting Operating...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaniee! Nataka kununua TOWNACE NOAH toka SBT Japan, awali niliwahi kuwalipa kwa paypal lakini safari hii wamegoma wanasema paypal hawatumii tena bali ni T/T pekee. Naomba mwenye kuwajua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta receiver aina ya wiztech madel wiz9999 anaejua wapi ninaweza kupata kwa dar
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Anaeuza moja kati ya htc one au galaxy s3 used nahitaji kununua kikubwa iwe kwenye hali nzuri bei maelewano,kwakua sipo sana online mwenye nayo/anaeuza anicheki kupitia 0752177217
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Wadau wale mnao usumbuka na simu za smartphone kuishiwa chaji kila wakati sasa waweza kutembea na kifaa cha kuchaji simu yako mfukoni, kinachoitwa power bank, zipo za kuanzia 25,ooo mpaka 55,000...
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Lg tablet inauzwa Iko kwenye hali nzuri bei ni tsh 400000 tu. Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom