Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Wadau,
Naomba kujua bei ya Lenovo Ideapad s300 laptop mpya kwa hapa Tz,ikiwezekana nipate na jina la duka linalouza nataka kununua soon.
Pia nakaribisha ushauri juu ya aina hiyo ya laptop kwa aliyewahi kutumia.
Nitashukuru nikipata majibu yenu.
Asanteni.