Msaada duka lenye simu original Singida

Msaada duka lenye simu original Singida

Daddo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,435
Reaction score
1,027
Heshima kwenu wakuu.

Ama baada ya salamamu naomba nifikishe ombi langu kwenu. Kwa wale wenyeji na wanaopafahamu vizuri Singida mjini, naomba kuelekezwa swala hili. Ni duka gani wanauza simu za bei rahisi zenye access ya internet? Kama kuna mtu anauza privately pia unaweza kuni pm.

Bajeti yangu haizidi 300 000.

Mwisho naomba kujuzwa hizi nokia e72 zinauzwaje hapo singida na je zinafaa kwa internet?
 
Hapo cm ni ghal sana,na nyingi si original.labda uagize Ar au Dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom