Viwanja vinauzwa Gezaulole (Surveyed)

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,882
2,374
Viwanja vilivyopimwa zaidi ya 200 kwa ajili ya makazi, Taasisi na biashara vinauzwa.

Viwanja viko Gezaulole - Kigamboni Dar es salaam

Bei zinatofautiana kulingana ukubwa wa kiwanja.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na wahusika kwa namba zifuatazo;

0715 269 125
0756 732 884
0714 800 004
 
[QUOilikuwaE=Mipangomingi;8913580]Hivyo viwanja ni miongoni mwa vile vilivyouzwa na Halmashauri ya Temeke
Call
Send SMS
Add to Skype
You'll need Skype CreditFree via Skype[/QUOTE]

Hapana mkuu, halmashauri ya Temeke ilikuwa block 26, hivi viko block 27.
Karibu ujipatie kiwanja.
 
Weka bei basi kulingana na ukubwa ...simu za nn ,tunapiga simu tunakuja kununua
 
Weka bei basi kulingana na ukubwa ...simu za nn ,tunapiga simu tunakuja kununua

Mkuu,
Kuna maelezo mengi unatakiwa upatiwe, unaweza flash mojawapo ya hizo namba utapigiwa ili upewe maelezo toshelezi. Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 600 na kuendelea.
 
Mkuu,
Kuna maelezo mengi unatakiwa upatiwe, unaweza flash mojawapo ya hizo namba utapigiwa ili upewe maelezo toshelezi. Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 600 na kuendelea.
Nimepiga namba hiyo ya mwisho nimeambiwa niepukane na matapeli...mh
 
Mkuu,
Kuna maelezo mengi unatakiwa upatiwe, unaweza flash mojawapo ya hizo namba utapigiwa ili upewe maelezo toshelezi. Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 600 na kuendelea.

Ninakushukuru kwa ufafanuzi, umenisaidia kupata maelezo ya kina kuhusu eneo hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom