ukodishaji wa malori ya kifusi, mchanga (tipa)

ukodishaji wa malori ya kifusi, mchanga (tipa)

KARATU70

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
49
Reaction score
5
Wanajamvi ukiwa na tipa kuanzia cubic meter 8cm hadi 15cm tunaweza fanya biashara aidha kwa cku,trip, dar au mikoani au vingineuyo unahitaji wewe tutakupa
 
Wanajamvi ukiwa na tipa kuanzia cubic meter 8cm hadi 15cm tunaweza fanya biashara aidha kwa cku,trip, dar au mikoani au vingineuyo unahitaji wewe tutakupa

Rudia tena kuandika tukuelewe!!
 
8cm day yake ni ngapi?na 15cm huwa mnaleta ngapi day yake?
 
Na bei la kila tipper ni sh ngapi na mkoa na sehem gan hapa tanzania biashara inachanganya zaidi @ karatu na wengineo
 
Back
Top Bottom