Natafuta huawei y300

Natafuta huawei y300

Kumbuka tigo wanauza 195,000 gharama ya ku-unlock ni 20,000, jumla 215,000

hayo nakumbuka vizuri kabisa na hata kukusaidia me nimenunua 195,000 ni pamoja na ku-unlock kama hujui,Ila aliyeleta uzi hajasema anataka kwa bei wanayouza tigo ye ametaka cmu unafikiri hajui.ndugu yangu kuna watu wana pesa hawataki usumbufu cjui kwenda kupanga foleni usuburi kuandikiwa warranty,unlocking and blah ye anataka kitu kamili amezoea kuitumia pesa kwa hiyo me nimwelea zaidi mleta mada me ninayo kama unataka lki 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom