Alisoma chuo kinachotambuliwa na serikali? I mean kilichosajiliwa na wizara ya afya? Ajitahidi kuwa na ujasiri wa kuapply hospitali mbalimbali za private. Manesi wanahitajika sehemu mbalimbali hapa bongo. Akaulizie hospital kama mwananyamala mission, tmj,hindu mandal,regency n.k. Asiogope atapata