Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji anaeuza sukari nyeupe ila sio k.k Mwenye anaweza pata namjomba pm
1 Reactions
1 Replies
930 Views
habar ndug wafugaj wenzang, polen na changamoto za maisha ya ufugaj, kama mada inavyojieleza hapo juu kwa wakazi wa handeni-tanga naomba kwa anaetoa huduma ya kutotoresha mayai aina zote bac...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
MaDish Installers Tunafunga mifumo ya ulinzi kwa kutumia:- CCTV cameras Electric fence Alarm system Intercom Na mengineyo na wakati huu tuna punguzo maalum kwenye kufunga Electric fence kwa...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Mwenye machine tajwa au anae jua wapi naweza pata naomba anijuze
1 Reactions
1 Replies
379 Views
Habari zenu wakuu Kiwanja kinauzwa kigamboni njia ya kwenda changani beach Dege kituo kinachofuata Kiwanja kimepimwa na kina hati Huduma zote za kijamii zipo Ukubwa wa kiwanja ni 587 Sqmt...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nafanya kazi kwa uwaminifu kabisa kwa mawasiliano number 0766-334872 ndani ya Dar es salaam nafikapopote pale
0 Reactions
2 Replies
294 Views
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka. kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba. Ukubwa ni 45 kwa 35 metres. Bei ni million 30 tu. Umbali kutoka barabarani ni km 2...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana. TUPIGIE SASA 0657 33...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Harrier inauzwa Bei ni 18m Engine capacity ni 2360cc Imetembea KM 93000 Inapatikana Dar Piga 0698235368
2 Reactions
4 Replies
566 Views
WADAU, NOAMBA USHAURI. NITAJI KULETA MIFUGO (MBUZI NA NGOMBE) KUTOKA KARAGWE (KAGERA) KUJA BUNJU DAR ES ALAAM, NAOMBA CONNECTIONS ZA USAFIRI AU WASAFIRISHISHAJI WANAUOWEZA KUNIFANYIA KAZI HII...
1 Reactions
9 Replies
807 Views
Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30. Bei ni milioni 14 Nyaraka Serikali za mitaa. Huduma zote za kijamii zipo 0762282526
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni mashine mpya kama inavyoonekana pichani. 160 AMP Single phase. Bei 450000
0 Reactions
3 Replies
589 Views
Natafuta mtu mwenye connection ya wateja wa Viazi (Irish potato) aliyepo Dar es salaam. Nipo Njombe Kwa aliye tayari call me [emoji116] Tel: 0654629098
2 Reactions
4 Replies
551 Views
Habari Naomba kuelekezwa mahali wanapouza hii mifuko kwa bei ya jumla kwa hapa Dar. Natanguliza shukrani, Asanteni
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Utapata Miche ya Matunda ya Muda Mfupi kwa Bei Ile Ile Ya Tsh 2500 Tu. Hii ndio Aina ya Miche Inayopatikana Kwenye Bustani Yetu Iliyopo Hapa SUA Morogoro. 1. Embe Aina 7 2. Parachichi Aina 3 3...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau nataka kununua godoro 5 kwa 6 bei ya kiwandani inakuwaje? Kwa anaejua anielekeze please
2 Reactions
60 Replies
12K Views
Wapendwa kimfaa mtu chake nauza heka zangu zote 3 zipo Bagamoyo karibu na plot ya Bakhresa. Ni mali yangu halali nauza kwa sababu nipo mbali. Piga kwa maelezo zaidi 0715160365. Ni mali yangu...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, Samahani naomba kuuliza kama ninaweza kupata wauzaji wa tiles aina ya Twyford kwa eneo la Chanika kwa bei ya jumla. Maana mimi ninaishi Msongola na kwenda Kariakoo barabara...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Jipatie movie zilizotafsiliwa kiswahili na zisizotafsiriwa kwa kiswahili kwa bei ya shilingi 250 kwa movie moja. Movie tunakutumia kwa njia ya email 0756362924 0766016411[emoji616] [emoji616]...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Nahitaji nyumba ya kununua iwe imekamilika umeme na maji au banda la uwani ambalo lipo sehemu nzuri kwa biashara. LOCATION:D Uga, Mwakidila, Mwahako, Mwang'ombe. 0766445858
0 Reactions
3 Replies
538 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…