Mambo yakuzingatia
Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya...
Habari JF,
Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba
Chumba kiwe ni kikubwa...
Nyumba inapangishwa kimara Korogwe Kwa mkua njia ya kuelekea Tabata,
Ina vyumba 2 vyote master maji yana flow ndani
Ina sebule kubwa na jiko
Gypsum na tiles mpaka chooni
Kodi 200,000 kwa mwezi...
Tangaza biashara au tangazo lolote halali la sauti lisilozidi dakika moja kwa shilingi 500 tu. Rekodi tangazo lako kwa simu au njia nyingine na uweke namba za mawasiliano kwa kuzirudia mara tatu...
MICHE YA MATUNDA YA MUDA MFUPI SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU TANZANIA
FAIDIKA NA KILIMO CHA MATUNDA 🍎🥭🍊🌲🌴
🌴 MATUNDA NI CHAKULA
🌲MATUNDA NI DAWA
🍎 MATUNDA NI UTAJIRI
Jipatie Miche Bora ya...
toyota noah
Bei:8,850,000
Mwaka: 2003
Aina ya Mafuta: petrol
Umbali: km 116,003
Injini 1998
Transmission: automatic ,,,,,,,vimelipiwa vibali
ac inafanya kazi vizuri na redio ipo powa
Linapatikana...
Habar,
Leo nimeamua kuwaletea habari njema kwa wale wanaopenda kununua gari lakini kipato chao au akiba yao haijafikia thamani halisi ya gari basi usihofu
Miliki gari yako kupitia sisi kwa njia...
Habari wadau,
Ninatoa huduma za Usajili wa Makampuni BRELA
A] usajili wa Jina la Biashara
b] usajili wa kupata cheti cha kuzaliwa toka NIDA
C] kutengeneza company profile na annual report
d]...
Toyota Harrier NEW model 🚘 *(EDG)
Year 2010
☎️0689-357-572 }whatsapp ✅
☎️0768_041_126 }whatsapp ✅
Engine Capacity Cc 2360
Engine 2AZ
Automatic gear
Mileage 55,338km
Full option Music Android...
Kipo ukonga msimbaz miguu 28 kwa 58 kina mawe ya serikali yamtaa bei milion 6.5 maongez yapo umeme maji upo ni dakika 15 tu ufike gereza la ukonga yaan main road mawasiliano 0763932278 .
Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari...
Habari wakuu,
Infinix smart 6 inauzwa, Good Condition imetumika miez 3 tu!
Inatakiwa laki moja na tisini chapu,
Simu haina tatizo lolote lile.
Nipo Tabata Kimanga, kwa mawasiliano zaidi
No...
Habari wadau.
Deki ipo Dar, faida nyingine ya deki hii ni kwamba inayo amplifaya ndani yake , kwa hiyo unaweza kutumia kama amplifaya na radio kwa wakati mmoja.
Bei : 130,000
Mawasiliano ...
nipo dar es salaam mwenye TV aina ya hisense nch 40 hadi 43 njoo chapu inbox sharti iwe yakwako. ofa yangu ni 300,000/= lakini inategemea na ubora wa TV yako.
kwa mawasiliano ya haraka piga simu...
Nauza Gari yangu Aina ya Jeep WRANGLER ya Mwaka 2018.
Registration T 127 CUA
Make: Jeep
Model: WRANGLER
Body type: Station Wagon
Colour: Green
Year: 2018
Fuel: Diesel
Price: 65,000,000/=
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.