Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama una swali lolote kuhusu laptop au smartphone ambalo limekuwa likusibu au kukupa changamoto hasa unaponunua au unapotumia baadhii ya hiv vifaa vya kieletroniki. Kuna watu wengi hupitia hizi...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Habari! Naomba kujua Bei za Ram 1/2 gb
0 Reactions
46 Replies
16K Views
Kwa wale walio karibu na Mikoa ya Mbeya au Songwe na una miliki Mtambo wa Solar power basi nahitaji tafadhari. Kama ni unahama kwenda Mkoa mwingine au una shida tu kidogo. Basi mteja nipo hapa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chaji masaa 4 For business or private Bei 60000 0710599055
0 Reactions
8 Replies
574 Views
[emoji3532]Mashine ya kuchaji ya kunyolea KEMEI [emoji3532]Chaji masaa 4 [emoji3532]For business or private [emoji3532]Bei 60000 [emoji3532]Airpod F9 [emoji3532]Base and sound good...
0 Reactions
10 Replies
857 Views
Habari Njema toka Kim's Real Estate Agency...Sasa viwanjwa vya Chanika tumeshusha Bei...toka 2,500,000/= hadi 1,500,000/=....hii ni kumaanisha kuwa kwa 1.5M to unajipatia kiwanja..Ni offer ya...
0 Reactions
455 Replies
106K Views
Wadau kuna ndugu yangu amepata tatizo la usikivu,ni baada ya kuumwa sana maralia. hivyo ni nauliza humu bei elekezi ya hivyo vifaa vya kumsaidia kusikia na jinsi atavyo vipata nawasilisha.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nauza kifaa hiki chenye kusaidia kuongeza uwezo wa kusikia. Hii inatumika zadi kwa watu wenye uwezo hafifu wa kusikia. Kifaa hiki kidogo ni chepesi sana ukivaapo sikioni, na unakuwa na uwezo wa...
0 Reactions
29 Replies
12K Views
PHONE:TCL 30 XE 5G MPYA HAINA KIPENGELE TSH 250,000/= GB 64 RAM GB 4 INTERNET 5G BATTERY 4500mAh MEMORY CARD SLOT[emoji736] FINGER PRINT[emoji736] MPYA KABISA Call 0713579248
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Habari wakuu.. Ninaimani mpo njema mkiimalizia weekend.Ningependa kuchukua muda huu kushare a.b.c juu ya mfumo wa kisasa wa masoko wa digital marketing.Mfumo ambao unaaminika kila mfanyabiashara...
13 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari! Mimi ni kijana mjasiriamali wa kitanzania, ninajishughulisha na uuzaji wa dagaa kwa ajili ya kutengenezea chakula cha kuku/mifugo, hivyo natafuta mteja/wateja wa dagaa hao. Dagaa hao...
1 Reactions
0 Replies
465 Views
Wakuu natumai mko njema kabisa. Kwa wakazi wa Dar es salaam nawasogezea huduma hii adhimu kabisa. Natoa huduma ya kuuza maziwa ya ng'ombe halisi kabisa, ni maziwa ya ng'ombe OG. Namanisha kuwa ni...
14 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari waungwani, wafanyabiashara wa viatu,ninampango wa kuanza kufanya biashara ya simple shoes za kike Kwa anayeweza kunipa diteliz za uhakika namkaribisha Wasapu 0673817130 tufanye biashara pamoja
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu. Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju. Lakin pia Ubungo kwenda...
11 Reactions
115 Replies
16K Views
NYUMBA ionekanayo pichani inaizwa TSH 15,000,000 (milioni kumi na tano) mazungumo Yapo -vyumba 2 vya kulala kimoja máster -Sebule -jiko -publick toilet NYUMBA ipo Mbagala Dar es Salaam maji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
J & J Power Professionals ni wataalam wa umeme ambao wanatoa huduma kwenye majengo ya Serikali na watu binafsi Tunahusika na: -Wiring ( domestic na industrial) installations - Umeme jua (Solar...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Ninafanya utafiti wa bei ya Ardhi dodoma kwa ujumla wake viwanja ukubwa kati ya square meter 600-1500 Mahitaji eneo la Ilazo na maeneo ya Jirani kiwanja kilichopimwa na pia skwata iliyo rasimishwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
AirTags zilitangazwa katika hafla ya uzinduzi wa Apple mnamo tarehe 20 Aprili 2021. Zitatolewa tarehe 30 Aprili, lakini unaweza kuagiza mapema wakati huo sasa. Maagizo ya mapema yalianza tarehe 23...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Je Umekuwa ukitafuta web Hosting ya Gharama nafuu na Umekosa, hapa ndo penyew pata web Hosting Bora na Nzur kwa Kazi zako sasa, niko na Offer hapa Plan 1 2 - 4 GB RAM and 2 CPU CORE Linux...
0 Reactions
4 Replies
776 Views
Hello GT , nahitaji IT wa kunitengenezea website ndogo , Awe ARUSHA na bei iwe rafiki , Asante sana ,
0 Reactions
7 Replies
565 Views
Back
Top Bottom