Ipo kimara suka golan.ina vyumba viwili vya kulala,kimoja masta,jiko,sebule,public toilet,ina maji ndani,gipsum,tairis,madirisha ya vioo.car parking,ina kisima.simtank.kodi laki tatu.ni nyumba...
Tunatoa Mafunzo ya Software za HR (Orange HRM & HR Diamond) popote utapohitaji hata nyumbani kwa wanafunzi na wafanyakazi walio na weledi katika kozi ya HRM kwa gharama ya shilingi 50 000 kwa siku...
Eneo lipo Mwasonga-Kigamboni Dar es Salaam mbele ya Dar es salaam Zoo... shamba linamilikiwa kwa kufuata taratibu zote za kisheria na HALINA MGOGORO... bei ni shilingi millioni 62 za kitanzania...
inauzwa mitambo ya kuchongea tred au bolt nut za magari drive shaft,propera shaft, na kuchongea bush aina zote tairod hand na mambo yote ya kurepair gari liwe safi ni pm tu.
Habari ndugu, jamaa na marafiki,
Naulizia bei ya Tiles za Marmo zinazopatikana kwenye kiwanda chao kilichopo mbeya. Nasikia zile ni tiles zitengenezwazo kwa kutumia mawe matupu na ni imara sana...
Hello wasaka mali wenzangu,
Naomba kuuliza ni wapi zinapatikana mashine rahisi za kusaga chakula cha kuku hasa za mkono,uwezo wake na bei zake.Pia mwenye kujua kanuni sahihi za uchanganyaji wa...
Mafyeko bucha la kisasa tupo moshi Longuo B;maduka ya juu(barabara ya kcmc) tunachinja nyama safi ya ng'ombe kila siku; weka oda yako sasa kwa jumla na rejareja!!
Karibu sana.
Ukitoa order...