Solangefoley
Member
- Nov 12, 2012
- 28
- 2
prondo, Kaizer , OLESAIDIMU haya njooni huku kuna biashara.Prado m.6? ooh tate nane mgoshi nteikunda!
Prado m.6? ooh tate nane mgoshi nteikunda!
Anauza body
Mkuu ebu toa details zaidi, kama mwaka wa kutengenezwa, hali halisi ya gari vitu kama leakage kwenye engine, me nahitaji kweli hiyo gari ajili ya kazi za porini. Au kama una Landrover 110 or 109 or deffender zilizo katika hali nzuri na iwe ya diesel. Sema tufanye biashara.
Inatembea, au ni grounded. Funguka zaidi vitu kama imekwisha tembea km ngapi nk.
~~Anauza body
Inahitaji engine mpya...kila kitu kingine kiko sawa !!!!
Inawezekana kweli.
Hizi gari sio siri mie mwenye muundo,sura yake siipendi.Na ndio maana sio nyingi hata mitaani.Zimekaa kama vile za kishamba,na hata uipambe vipi ipo kama dagaa tonge.Dash board lake linachekesha kweli,utafikiria redio za mbao za zamani yaani limepooza.Aisee
Bei itakuwa sawa.
Mkuu ebu toa details zaidi, kama mwaka wa kutengenezwa, hali halisi ya gari vitu kama leakage kwenye engine, me nahitaji kweli hiyo gari ajili ya kazi za porini. Au kama una Landrover 110 or 109 or deffender zilizo katika hali nzuri na iwe ya diesel. Sema tufanye biashara.
Nina Nissan Patrol inatembea na iko katika hali nzuri. Bei milioni 11. Ni manual na nzuri kwa kazi za poli. Tuwasiliane kwa 0657621427
Inahitaji engine moya...vingine vyote sawa!
Mmmh 2004????? Hii kitu umekosea hii mikitu ilitamba miaka ya 1991-2 hukoUkisikia gari inauzwa kwa bei usiyoitarajia haina maana kuwa ni mbovu au ni mkweche la hasha. Mwenye mali anaamua kuiuza na kwamba kuiuza kwake hakumpi hasara yoyote hata akiuza kwa bei tofauti na ya magari. Kwahiyo fikeni, pigeni simu, kwa maelezo ya kujua nini au kwa nini milioni 6 ndinga kama hiyo iliyotamba miaka ya 2004