Feed mixer and feed ration compogition formula

Feed mixer and feed ration compogition formula

sengeze adam

Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
12
Reaction score
2
Hello wasaka mali wenzangu,
Naomba kuuliza ni wapi zinapatikana mashine rahisi za kusaga chakula cha kuku hasa za mkono,uwezo wake na bei zake.Pia mwenye kujua kanuni sahihi za uchanganyaji wa chakula cha kuku ambayo inatoa matokeo tarajiwa maana hata haya makampuni ya uuzaji wa vyakula vya kuku wameifanya siri na hawaitoi hata kidogo na wakiitoa basi wanatudanganya kwa kutupa kanuni feki mwisho wa siku kuku hawakui kama inavyotakiwa hivyo naomba mwenye utaalamu huo atusaidie kwa sisi tunaotaka kutengeneza vyakula vyetu wenyewe
Akhsanteni.
 
kwenye swala la kutengeneza chakula tatizo sio formula. Ishu kubwa ni kuweza kupata DCP inayo takiwa Digestive Crude Protein, ugumu unakuja kwa sababu unakuta mazao yana tofautiana concentration, unaweza kuta Mahindi yanayo limwa Dodoma yakawa na concentration tofauti na yanayo limwa Arusha au Mbeya na hivyo hivyo kwa mazao mengine. kwenye msosi wa kuku unatakiwa kucheza na DCP make ipo ya Vifaranga vifaranga wanao kuwa na wanao anza kutaga. sasa ukitengeneza ukakuta DCP ya kuku wanao taga iko juu automatically hao kuku hawatataga.
 
sina hakika na unachokisema about protein concentration ktk mazao kutofautiana bt issue inabaki palepale kanuni sahihi za uchanganyaji wa chakula cha kuku ni muhimu hasa katika uwiano wa uchanganyaji ila kuhusiana na hiyo DCP sina knowlegde nayo,afterall kwa mtanzania wa kawaida hasa mfugaji wa kuku wa asili sio lazima kuhangaika na DCP rather ni kujua uwiano wa uchanganyaji wa suppliments na pia kuongeza extra protein suppliments kwa kulingana na kanuni na mahitaji na umrii wa kuku.Ila nashukuru kwa mchango wako mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom