Kiwanja kinauzwa Mbweni beach

Kiwanja kinauzwa Mbweni beach

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,137
Reaction score
365
Kina ukubwa wa mita za mraba 800. Kina hati miliki. Bei Tzs 25mil. Kwa anayehitaji kununua tuwasiliane kwa simu na. 0784225000
 
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.


ASANTENI.
 
Back
Top Bottom