Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

Igunga Moja

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
182
Reaction score
23
Ipo kimara suka golan.ina vyumba viwili vya kulala,kimoja masta,jiko,sebule,public toilet,ina maji ndani,gipsum,tairis,madirisha ya vioo.car parking,ina kisima.simtank.kodi laki tatu.ni nyumba mpya kabisa!
 
Netwk inasumbua picha inakataa,ntaweka picha 0716 160639
 
Muonekano wa nyumba
 
Attachments

  • 1412590055363.jpg
    1412590055363.jpg
    31.3 KB · Views: 111
Ipo kimara suka golan.ina vyumba viwili vya kulala,kimoja masta,jiko,sebule,public toilet,ina maji ndani,gipsum,tairis,madirisha ya vioo.car parking,ina kisima.simtank.kodi laki tatu.ni nyumba mpya kabisa!
Safi mkuu,maana kwenye sifa za Nyumba kuna hadi jina la Muimbaji maaarufu wa Marekani.

Nyumba nzuri,full aluminum,je ina AC?,maana vioo hivyo ni balaa kwa joto au kama inakuwa na vioo hivyo pamoja na wavuwa mbu ipo mwake zaidi.Maana Dar mbu ndio home.
 
Haina ac,sifa za nyumba nimeorodhesha hapo juu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom