Eneo lenye ukubwa wa ekari nane linauzwa

Eneo lenye ukubwa wa ekari nane linauzwa

Fulumbundu

New Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Eneo lipo Mwasonga-Kigamboni Dar es Salaam mbele ya Dar es salaam Zoo... shamba linamilikiwa kwa kufuata taratibu zote za kisheria na HALINA MGOGORO... bei ni shilingi millioni 62 za kitanzania.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom