Carina Ti 1490 cc white inauzwa, ipo DAR

clasi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
379
Reaction score
726
Wadau nauza CARINA Ti 1490cc, Rangi Nyeupe, ipo Dar es Salaam, vimelipiwa ROAD LICENCE, BIMA mpaka November, 2013, tairi ni mpya. Bei ni 9,000,000/= (9m). Sababu ya kuuza naenda masomoni Nje ya nchi na sina wa kumuachia. Ukihitaji ni-PM
 
Upo juu sana mkuu nenda Kidongo chekundu utaona kama hizo ni 5.5m
 
Gari ipo anaitumia mdogo wangu. Mwenye kuhitaji aje na 6.8m BIMA COMPREHENSIVE, TAIRI MPYA & SERVICE nimefanya karibuni 5,000kms
 
Weka maphotos tafadhali
 
wadau nauza carina ti 1490cc, rangi nyeupe, ipo dar es salaam, vimelipiwa road licence, bima mpaka november, 2013, tairi ni mpya. Bei ni 9,000,000/= (9m). Sababu ya kuuza naenda masomoni nje ya nchi na sina wa kumuachia. Ukihitaji ni-pm

bila picha utasubiri sana
 
Gari ipo anaitumia mdogo wangu. Mwenye kuhitaji aje na 6.8m BIMA COMPREHENSIVE, TAIRI MPYA & SERVICE nimefanya karibuni 5,000kms

Mwachie mdogo wako aendelee kuitumia.Maana utaishia kula hasara tu.
 
Gari ipo anaitumia mdogo wangu. Mwenye kuhitaji aje na 6.8m BIMA COMPREHENSIVE, TAIRI MPYA & SERVICE nimefanya karibuni 5,000kms

Hiyo comprehensive insurance iko kwa jina lako.
 
Mi naisubir iendeleee ku depreciate mpakaa ifikieee bei ya baiskeliiii ndiooo uni pm upload na mapicha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom