Nahitaji king'amuzi/ kisimbusi

Nahitaji king'amuzi/ kisimbusi

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Kama una king'amuzi cha startimes, digtec ama continental, nakihitaji kwa Tsh. 45,000. zaidi napendelea startimes.
Niko Mbezi Mwisho-Dar simu 0712172026 au 0766642604
 
Asiee walileta kiswahili hiki cha Decoder wanatuchanganya tu.
Bora angalau king`amuzi lakini hili Jina la KISIMbusi naona kama limekaa kimatusi vile.
Utasikia Keyboard eti kibaofunguo,duhh.

Mkuu Starttime ndio bora,lakini hivyo vingine hapo havina issue utajikera,Startime wamejipanga kiasi siku hizi
 
Gigtek kinapatikana kwa elfu60 ni PM

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom