dip pub
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 389
- 74
eneo linauzwa likiwa na nyumba ya vumba vinne,liko ndani ya uzio na linatazamana na barabara kuu ya tabata kimanga.mbele kuna flemu za biashara nne. eneo limepimwa na lina hati. bei ni milioni 200 mazungumzo yapo #0714358610