Salama wakuu msaada natafuta USB 3.0 HUB kwa yeyote anayejua mahala zilipo naomba unijulisha tafadhali nipo Dar.
Msaada tafadhali laptop yangu ina USB port mbili tu...
1.kiwanja ukubwa square meter 690 kipo block k tunduma(karibu na ukinga hill motel) kinauzwa tshs 8 milion kina offer
2. Viwanja viwili vipo chapwa vina offer vinauzwa @ tshs 4,000,000...
Wana JF. Mimi ni mjasiliamali mdogo.
Nina ndugu yangu anabiashara nyingi mbeya na Rukwa. Pale Mbeya ana mashine za kusaga unga wa sembe. Mashine hiyo ni ya pekee kidogo inaweza kukuboa mahindi...
Wakuu nauza shamba nzuri, liko kwenye halo ya unyevunyevu wakati wote. Ni lenye ukubwa wa hekari 20 na kila moja ni 70,000. Ni mashamba yaliyopimwa na serikali ya kijiji. Kama utahitaji basis ni...
Nipo goba kwa ndambi. Nimeinunua tarehe 30/11/2013. Nikaitumia kibiashara kwa miezi 3 kisha nikaipaki tu ndani. Mwezi huu mwanzoni nikampa kijana mwingine akaanza longo longo sasa biashara...
Pikipiki aina ya BOXER inauzwa kwa bei ya shilingi milioni moja na laki saba (1.7 milion Tanzania shiling).
SIFA ZA PIKIPIKI.
Pikipiki imetumika kiustaarabu kwa muda wa miezi mitano tu (tokea...
Camera hii ipo katika hali nzuri na inafanya kazi kadiri upendavyo, betri yake ikiwa fully charge ina uwezo wa ku_run through LCD zaidi ya masaa 8-9, kupotia viewfinder ni 10-14hrs. Built in mic...
Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa tokana na ‘stabilized' Aloe vera gel pamoja na bee propolis hivyo huu bacteria na vijidudu vyote.
Inang'arisha meno bila ya kuchuna tabaka la juu...
Haya Mnada
New PC inauzwa,ilikuwa ndani tu haijatumika kikazi.
Specification:
Power Saver,inatumia Adaptor only 90 Watts
Manufacture:-Hewlett -Packard(HP)
Rating:- 1.0 Window Experience...
We do provide SECURITY SERVICES for Homes and corporate, Godowns, Shopping Malls as follows, our services include;
Residential, Corporate Guarding Service
Dogs Training & Guards Service...
Habari wadau!
Msaada waungwana,natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Ukonga mpaka G'mboto. Iwe self,ina vyumba vya kulala kuanzia viwili,sebule,jiko,maji yawe karibu na parking. Ikiwa na fens...
Habari wana jf..
Naomba kufahamu ni tochi za aina gani ambazo ni angavu sana ambazo naweza kutumia kwa shughuli za ulinzi usiku...
Iwe ni mwanza ama mkoa wowote ntajitahidi kuzitafuta...