Nimepunguza bei ya nyumba hii (unfinished house)

Nimepunguza bei ya nyumba hii (unfinished house)

LIGANGALEO

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Wana JF
Nimepunguza bei ya nyumba hii (Unfinished House).Nyumba ina Hati na ipo Madale, Dar es Salaam. Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja ikiwa na Lounge, Kitchen, Store, Lobby, Pantry na Chumba kimoja chini chenye choo na bafu ndani pamoja na Public Toilet ya kawaida hususani kwa wageni.
Ramani ya juu kuna VIP Lounge,Study Room, Master Bed Room na vyumba vingine viwili vinavyojitegemea kwa choo na bafu. Servant Quarter kwa ajili ya mlinzi ipo tayari kama inavyoonekana kwenye picha ndogo.
Ukubwa wa eneo ni Square Meter 1203.Bei nimepunguza mpaka Ml.100 tu na maongezi kidogo yapo.
Wanajamvi karibuni.
0713 81 08 03
 
Attachments

  • DSC01205.JPG
    DSC01205.JPG
    46.6 KB · Views: 415
  • DSC01207.JPG
    DSC01207.JPG
    30.6 KB · Views: 421
  • DSC01208.JPG
    DSC01208.JPG
    49.7 KB · Views: 353
Mkuu Obama wa Bongo hiyo picha yako imenivunja mbavu
Anywway kukujibu swali lako ni kwamba mimi nauza ili nifanye projects nyingine zilizokwama. Hilo la kupangisha halimo kichwani Mkuu.
 
Mkuu nijuavyo mie ghorofa kama hiyo lazima iwe imesanifiwa na Engineer aliesajiliwa.
Pili,hembu tuambie Madale ipo wapi hasa kwa Dar,Maana naona mji umepooza ile mbaya,na wewe inaonekana ndio tajiri wa kijiji kwa kujenga Ghorofa,au wenzio wamekuroga isiishe?
Halafu hicho kibanda hapo mbele ni police post au vipi
 
Duuh unaogopa na wewe wasikuroge.
 
Mkuu nijuavyo mie ghorofa kama hiyo lazima iwe imesanifiwa na Engineer aliesajiliwa.
Pili,hembu tuambie Madale ipo wapi hasa kwa Dar,Maana naona mji umepooza ile mbaya,na wewe inaonekana ndio tajiri wa kijiji kwa kujenga Ghorofa,au wenzio wamekuroga isiishe?
Halafu hicho kibanda hapo mbele ni police post au vipi

For you information Plots in these areas are very expensive
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom