Jipatie kiwanja mwasonga-Kigamboni kwa 3.5 millions kwa hekari moja.

- Kiwanja hicho kipo karibu shule ya msingi kichangani mbele kidogo ya Nyumba za Nssf!
- Kiwanja hicho kimepakana na kiwanja Oilcom(hii ni opportunity kwako kama una-invest)
- KIwanja hicho pia kimepakana na barabara ya mtaa! kutoka barabara kuu ni kama kilometa moja.
- Please Ni Pm kwa maelezo ya ziada
