Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitahi software inayoweza kufanya kazi zote za publishing kama ifuatavto:- 1:kufanya editing ya picha na michoro mingine 2:Book cover designing 3:Book typesetting and arrangement before...
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Habari zenu wakuu, nauza gari tajwa hapo juu. Automatic, Diesel 1KZ. Bei ni 7million negotiatable. Gari mlango wa nyuma lock yake haifungi, na mlango wa kati unahitaji kupinduliwa kidogo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari. Nahitaji Laptop (any brand except: Lenovo, Asus, Gateway) yenye angalau sifa zifuatazo: 1. HDD - 500 GB 2. RAM - 4 GB 3. Processor - Core i5 Kwa aliye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari yenu wakuu,kwa yeyote anayehitaji support ya Navision software naomba ani pm
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Natafuta pajero ya kununua, iwe ina hali nzuri, inatembea, iwe 5doors, manual, diesel. Sio min pajero. Kwa anaeiuza, tuwasiliane kupitia email: daviskayombo@hotmail.com
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je,wewe unahitaji huduma bora,ya haraka na kuchapisha vitabu,brochures,posters ...etc! na aina zote za stationaries? ATMOS PRINTING COMPANY ndo mpango mzima... huduma zetu ni bora,za haraka...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
MstahikiMeya Toyota chaser, model sx80, mwaka 1990, inatumia Petrol. Available for sale. Model Code: SX80 Mileage: 177000Km Engine Size:1838 cc Drive: -SteeringRight Transmission: Automatic...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
atafadhari naomben nifahamishwe bei ya betri la simu tajwa hapo juu
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Ipo jirani na Ada Estate Kinondon ina chumba 1, sittingroom, store na jiko Full tiles &gypsum, maji yapo... 0718 488595
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Kuna Ndugu Yangu Anahitaji Chumba Cha Kupanga, Cha sh. 30000 Kw Mwez. Kazi Anafanyia Msasani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar waheshimiwa! Naombeni msaada kwa anaefahamu ilipo frame nzur kwa ajili pub, grocery au bar ndogondogo anifahamishe(ani PM) kwa maana nishatafuta sn aiseee! Zaidi ni kwa maeneo ya nyerere...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ipo Tabata kinyerezi. Ina vyumba vinne vya kulala mpya ya kisasa. Bei tshs 130mil. Fixed price. 0717114409
0 Reactions
12 Replies
3K Views
nahitaji universal portable wifi router! contacts : +255 7144 448 864
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni moja ya kazi niliyoifanya Kigamboni ni jengo la mwana JF akiniruhusu nitaweka jina lake.
0 Reactions
2 Replies
931 Views
-------
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarizenu wadau Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nafanya installationi ya Quickbooks Point of Sale 9.0 hii ni software yenye uwezo kufanya “management” ya “stock/inventory” za biashara yoyote...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Supergrow ni mbolea bora kabisa inayotumika kukuzia na kupandia mmea inarutubisha ardhi. mazao mara mbili na huongeza wa mazao na uzito. Hupunguza Gharama za kilimo. Haina mathara yeyote na ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajf poleni na majukumu kuna kiwanja kipo ununio miguu 35x35 kinatizamana na barabara ya lami ya ununio mil 25 hakijapimwa ni mzee anaeneo kubwa so amekata kiko kipande ili atatue shida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF niko Serious ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2 na Robo lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na niko tayari kwenda popote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nakufanyia installation ya program zote muhimu kama vlc,mozilla,google chrome,adobe reader na nyingne kibao hyo hutolei pesa ni pc zenye 4GB ram 500 GB hard disk na processor core i5 2.5GHZ very...
1 Reactions
0 Replies
916 Views
Back
Top Bottom