Kiwanja kinauzwa Ununio barabarani

Kiwanja kinauzwa Ununio barabarani

mfetere

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
251
Reaction score
95
Habari wanajf poleni na majukumu kuna kiwanja kipo ununio miguu 35x35 kinatizamana na barabara ya lami ya ununio mil 25 hakijapimwa ni mzee anaeneo kubwa so amekata kiko kipande ili atatue shida zake 0714787795 kwa mawasiliano zaidi pia whatsapp kwa picha maana hapa zinagoma.
 
Mkuu ni vyema ukataja ununio maneneo gani ili tupate picha halisi.
 
Eneo lenye saltwater deposit ni hatari na gharama kubwa kwa ujenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom