Natafuta Pajero ya kununua

Natafuta Pajero ya kununua

mteeq

Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
43
Reaction score
17
Natafuta pajero ya kununua, iwe ina hali nzuri, inatembea, iwe 5doors, manual, diesel. Sio min pajero. Kwa anaeiuza, tuwasiliane kupitia email: daviskayombo@hotmail.com
 
Natafuta zile za zamani, zilitoka ariund 1995. Wamiliki wengi walinunua toka serikalini.
 
kiongozi kuna boss wangu anayo ila ni milango mitatu but ina sifa zote ulizozisema unaweza ni pm kwa maelezo zaidi na picha.
 
Ipo mkuu, kama vipi nikutumie picha zake uone kama ndo ndo unayohitaji.
 
Kama mtu anayo tuwasiliane 0719 202022
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom