Habari zenu wakuu, nauza gari tajwa hapo juu.
Automatic, Diesel 1KZ. Bei ni 7million negotiatable.
Gari mlango wa nyuma lock yake haifungi, na mlango wa kati unahitaji kupinduliwa kidogo tu. Otherwise gari iko fresh. Kwa anaetaka na aliekuwa serious anichek kwenye 0715423242 nitamrushia picha kwa whatsapp. (Natumia opera mobile ndo maana sijaweka picha)