Habari za saa hizi wadau nahitaji line za airtel money na tigopesa bei utapanga weweila uwe tayari kwenda kubadili jina kwene tigo center au airtel center! 0658825141
Hiyo Hitachi Tv inch 21 inauzwa kwa shs laki na nusu.
Ipo kwenye hali nzuri pamoja na rimoti yake.Ni Tv ya rangi.
Tv ipo Morovian Arusha.
Mawasiliano:
0752489529 au ni PM.
How do I take S.M.A.R.T decisions to buy the right cloud server?
1.Speedy: Choose SSD over HDD! SSD devices have a higher I/O performance than traditional mechanical hard drives. This means that...
1999 Toyota Land cruiser (mkonga), 4 wheel drive linauzwa. Gari linatembea na liko kwenye hali nzuri sana. Limefanyiwa maintenance service hivi karibuni (front brake pads,wheel alighment, front...
Je hii printer (Pichani) EPSON L300 naweza kuipata wapi kwa Dar es salaam au Arusha
Iwe mpya.
Inahitajika kwa kazi ya Passportsize na Picha za kwaida za Digital.
Ahsante
MODEL NUMBER
L300...
leo nimepata jiwe jeupe hadi unaona upande wa pili halafu kwenye mwanga ukitazama vizuri kuna rangi nyingi pia linateleza pia kama limepakwa mafuta hiv naomba kujua ni aina gan ya jiwe a u...
Habari zenu wana jf.
Inatakiwa pickup tani moja iwe ya nissan au toyota hilux. Sifa na vigezo kuzingatiwa
1. Iwe nzima na imara ya kuanzia mwaka 1997
2. Iwe manual na ya injection
3. Iwe single...
Habari wakuu jukwaani,
Nauza Bodysplash, Showergelly, Perfume, na Lesswige kutoka Marekani kwa bei poa kabisa. Tunauza jumla na rejareja.
Kwa mawasiliano: 0716144645, 0759467849
Karibuni sana...
Kwa jina naitwa Esther mimi ni msambazaji wa samaki wa bichi aina ya SATO kwa jumla na rejareja napatikana Dar es Salaam na Morogoro pia.
Kwa anayehitaji anipigie 0653441636. Bei zetu ni nafuu na...
We Sell used laptops in Dar, but can supply all over tanzania. please visit out site Home (TZLAPTOP.COM) for more information. please call us only in office hours.
sisi tunauwa used laptops kwa...
T-shirt ni nzuri cotton nzito haichujuki rangi ikichuja ndani ya miezi sita unaruhusiwa kuja kubadilisha,bei ni 23,000/=kwa moja
pia shati slim fit rangi zote na size unayohitaji inapatikana kwa...