hbr wana jamvi, nahitaji landover 110 au p/up ya kumudu shughuli za maeneo ya rough rd. To a offer na mawasiliano.
hizi gari upatikanaji wake tz ni mgumu sana ,ni uk pekee ukiwa na pesa yako utapata used .sema bajeti yako
Kuagiza utachukua muda chief, inahitajika haraka sana.
uko mkoa gani mkuu? Ninayo iko fresh.offer yako?