changwe Senior Member Joined Aug 6, 2014 Posts 159 Reaction score 44 Oct 17, 2014 #1 Nyumba inapatkana sanya juu moshi bei ni ml28.Ni pm au 0759292980
BarakaJr JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 289 Reaction score 78 Oct 17, 2014 #2 Sanya Juu sehemu gani?au kwa nani?
changwe Senior Member Joined Aug 6, 2014 Posts 159 Reaction score 44 Oct 17, 2014 Thread starter #3 BarakaJr said: Sanya Juu sehemu gani?au kwa nani? Click to expand... Sanya juu majengo mkuu
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 Oct 17, 2014 #4 Nyumba ya ukubwa gani au ya ghorofa ngapi? Ipo kwenye kiwanja cha ukubwa gani? Ni nyumba ya mirathi mkuu au ni ya kwako? Picha mkuu ni muhimu, kabla ya kuongea
Nyumba ya ukubwa gani au ya ghorofa ngapi? Ipo kwenye kiwanja cha ukubwa gani? Ni nyumba ya mirathi mkuu au ni ya kwako? Picha mkuu ni muhimu, kabla ya kuongea
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 Oct 17, 2014 #5 changwe said: Nyumba inapatkana sanya juu moshi bei ni ml28.Ni pm au 0759292980 Click to expand... Sanya juu ipo Hai, Kilimanjaro na siyo Moshi.
changwe said: Nyumba inapatkana sanya juu moshi bei ni ml28.Ni pm au 0759292980 Click to expand... Sanya juu ipo Hai, Kilimanjaro na siyo Moshi.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,360 Reaction score 13,465 Oct 17, 2014 #6 changwe said: Nyumba inapatkana sanya juu moshi bei ni ml28.Ni pm au 0759292980 Click to expand... Imetembea kilomita ngapi?imewahi kupata ajali? na je inakulaje mafuta?
changwe said: Nyumba inapatkana sanya juu moshi bei ni ml28.Ni pm au 0759292980 Click to expand... Imetembea kilomita ngapi?imewahi kupata ajali? na je inakulaje mafuta?
Madege JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 530 Reaction score 111 Oct 18, 2014 #7 kichomiz said: Imetembea kilomita ngapi?imewahi kupata ajali? na je inakulaje mafuta? Click to expand... umenifurahisha sana mkuu je ni 4WD au AWD
kichomiz said: Imetembea kilomita ngapi?imewahi kupata ajali? na je inakulaje mafuta? Click to expand... umenifurahisha sana mkuu je ni 4WD au AWD
C Chakulagani JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 271 Reaction score 51 Oct 18, 2014 #8 Upuuuz Mtupu@Changwe&Kichomiz Nyamaza kama huna cha kuchangua,Fom two shule ishafunguliwa!!
changwe Senior Member Joined Aug 6, 2014 Posts 159 Reaction score 44 Oct 18, 2014 Thread starter #9 Nyumba ipo majengo sanyajuu wilaya ya siha mkoa wa kilimanjaro ina vyumba saba na ina wapangaji so ni nzuri kwa ajili ya biashara
Nyumba ipo majengo sanyajuu wilaya ya siha mkoa wa kilimanjaro ina vyumba saba na ina wapangaji so ni nzuri kwa ajili ya biashara
changwe Senior Member Joined Aug 6, 2014 Posts 159 Reaction score 44 Oct 18, 2014 Thread starter #10 kichomiz said: Imetembea kilomita ngapi?imewahi kupata ajali? na je inakulaje mafuta? Click to expand... Umekunywa viroba vingapi mkuu??.Jitambue kichomozi
kichomiz said: Imetembea kilomita ngapi?imewahi kupata ajali? na je inakulaje mafuta? Click to expand... Umekunywa viroba vingapi mkuu??.Jitambue kichomozi
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Oct 18, 2014 #11 Ukitaka kununua nyumba ulizia kwanza historia yake; hasa huko moshi siyo mahali salama sana.
changwe Senior Member Joined Aug 6, 2014 Posts 159 Reaction score 44 Oct 18, 2014 Thread starter #12 Mamndenyi said: Ukitaka kununua nyumba ulizia kwanza historia yake; hasa huko moshi siyo mahali salama sana. Click to expand... Hii nyumba haina shida kabisa ukiwa interested ntakujulisha kila kitu utakachotaka kujua
Mamndenyi said: Ukitaka kununua nyumba ulizia kwanza historia yake; hasa huko moshi siyo mahali salama sana. Click to expand... Hii nyumba haina shida kabisa ukiwa interested ntakujulisha kila kitu utakachotaka kujua
changwe Senior Member Joined Aug 6, 2014 Posts 159 Reaction score 44 Oct 19, 2014 Thread starter #13 Wadau karibuni pm bei ni maelewano
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Oct 19, 2014 #14 changwe said: Wadau karibuni pm bei ni maelewano Click to expand... Kwa nini inauzwa.........?
changwe Senior Member Joined Aug 6, 2014 Posts 159 Reaction score 44 Oct 21, 2014 Thread starter #15 Preta said: Kwa nini inauzwa.........? Click to expand... Kama unahitaj nichek pm au kwenye namba yang hapo juu
Preta said: Kwa nini inauzwa.........? Click to expand... Kama unahitaj nichek pm au kwenye namba yang hapo juu