Habari wana jf, nahitaji kununua gari aina la toyota vits ambalo lipo kwenye condition nzuri na lisiwe na tatizo lolote. Na budget yangu ni mil.4 napatikana dar es salaam.
Mwenye nalo anichek via mobile 0716880022 na picha pia whatsap if possible.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.