Nyumba inapangishwa 180, 000/= kwa mwezi mwananyamala. Mwenye kuhitaji aje inbox na aache contact nitamcheki. Ni vyumba viwili kimoja master. Ina sitting room iko getini. Ina LUKU yake na kisehemu...
Habari njema kwa wanaojipenda.Sasa unaweza kupata mafuta ya queen Elizabeth toka UK kokote uliko kwa bei ya 25000 tsh tu.Tumia queen Elizabeth original ikupe siri ya urembo wako.Mafuta haya...
Kiwanja kipo bahari beach meter 50 toka baharini na mt 50 toka barabara kuu ya kwenda ununio ukubwa ni approx 5 to 6 hectors na kina nyumba kubwa (mansion) katikati! Serious buyer tuwasiliane...
Beach Plot inauzwa Mapinga, Bagamoyo. Zipo eka 8 na Bei ni maelewano, na sio lazima ununue eka zote. Kwa yeyote anayetaka awasiliane nami katika email nsemwa@archfia.or.tz
Au simu namba 0788 002 001
Jamani leo ijumaa TGIF :hail:
Nauza galaxy pocket yangu, ndani yake sasa, kuna audio books za kutosha kama:
1. 21 Ways To Meet And Marry The Woman Of Your Dreams - Brian Tracy
2. The Art of War...
Nyumba kubwa inauzwa,eneo la salasala mwisho wa lami kwa wagogo,ina vyumba vitatu vya kulala,sitting room,dining na choo cha ndani,ipo kwenye eneo la ukubwa wa nusu heka.atakayefika bei...
​​ninauza kiwanja changu kipo kinyerezi karibia na kifuru, ni mwendo wa dakika kumi kwa usafiri, ukubwa wa kiwanja ni mita 20 kwa 20, kipo kwenye sehemu nzuri barabarani, bei ni...
Ninaflash na kutoa sim lock kwa bei rahisi sana,mfano iphone zote unlocking kwa njia ya software ni elfu 30 tu....official ama kwa kutumia imei itategemea na carrier aliyeilock simu yako,huawei...
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kitunda au karibu na maeneo hayo bajrti yangu ni 3M, Mwenye nacho au mwenye kumfahamu mwenye nacho tafadhari naomba ani-pm no yake
Ina miezi mitano Tangu inunuliwe.
Ilikuwa inatumika kama bodaboda BAGAMOYO mjini.
Mazungumzo yapo, Bei inaweza kupungua.
No T ... CVN, RANGI nyeusi Bei ni 1.6
No simu 0713191101.
Wahttsup...
kwa anaehitaji eneo kubwa upana ni hatua 35 na urefu ni hatua 48.Bei ni milioni kumi.Kwa aliye siriaz tuwasiliane,hamna dalali.0683097293.Umeme na barabara vipo,umbali kutoka morogoro road ni...