IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 802
Wadau, Bei ni 3.9m.
Wasiliana kwa 0652 656565.
CC 1597 (1LITRE/13KM),
Kwa bei hiyo nakubadilishia na tairi nzuri used
kila kitu kinafanya kazi (lakini hii ni used)
inafanyiwa service mara kwa mara.
Mtu akiitaka, tunaongea, analipa (kama yuko mbali na mbeya analipa nusu kwanza,namletea au ana kuja mwenyewe au ndugu au jamaa yake kuchukua na kulipa kabisa)
Gari haina tatizo kiumiliki. Kwakuwa ni used siwezi kusema iko perfect 100% but it is running normal, mambo madogo madogo ni muhimu kuyashughulikia- mambo ya msingi yako ok.
Baadhi Picha hizi hapa chini. SABABU YA KUUZA NI KIBIASHARA TU.