steveson manumbu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 887
- 178
Kwa mwenye ufahamu na any printing company in dar-Es-salaam hususani kuprint (chapa) tshits naomba kujuzwa. Asanteni.
Kwa mwenye ufahamu na any printing company in dar-Es-salaam hususani kuprint (chapa) tshits naomba kujuzwa. Asanteni.
Waweza fika pia pale maeneo ya bilicanas kuna kampuni inaitwa The Storm, waulizie juu ya printing ya T-shirts au nenda pale maeneo ya Chef Pride, mtaa wa Chagga kuna jamaa wanaitwa Dar City (nadhani) wako vizuri sana!
Lakini bado hujatoa mafafanuzi, katika T-shirts printin, kuna Screen printing, Digital printing, Off setting printing nk
zote hizo zinatofautiana mikwanja, kutokana na quantity ya Tshirts au Caps nk. sasa wewe uko upande gani?
au nitwangie 0716 7 666 4 0 nikujuze zaidi mkuu
Kwenye post yako uliandika.......Natafuta kampuni ya ku-print -shirts.....Lakini bado hujatoa mafafanuzi, katika T-shirts printin, kuna Screen printing, Digital printing, Off setting printing nk
zote hizo zinatofautiana mikwanja, kutokana na quantity ya Tshirts au Caps nk. sasa wewe uko upande gani?
au nitwangie 0716 7 666 4 0 nikujuze zaidi mkuu