Biashara ya Hardware

Biashara ya Hardware

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
12,955
Reaction score
9,534
Salam wakuu,

Nashughulika na biashara ya hardware jumla na reja reja, Nakufikishikia Mzigo hadi site kwako hata kama uko nje ya DAR kuna namna tunaweza kufanya ili mzigo ukufikie kwa gharama nafuu na kwa wakati.

Nadili na Pipe na Plumbing fittings size zote, toilete and all Ceramic Items. Napatikana Kariakoo Dsm.

Unaweza kunichek kwa namba hizi: 0764 504 540 na 0785 252 505 Karibuni sana!
 
Wakuu nawashukuru wote walioweza kufika Ofisini kwangu pia walionipigia cm Kuna ndg alihitaji Water Pump zimeshafika tumeingiza mzigo mpya SURFACE WATER,,,,,PUMP aina ya PEDROL,,,0.5Hp na 1hp Pia SUBMESABLE. WATER kuanzia 0.5HP hadi 5HP aina ya DOYING karibuni sana,,,,!
 
Mkuu nahitaji SIM TAMK ya lita kama 10,000, bei yake itakuwa kiasi gani?
 
Mzee wangu amahitaji sana pump kwa ajili ya shughuli za ufugaji samaki ..
Bei zake zikoje ndogo, na kubwa? Tafadhali!
 
Mzee wangu amahitaji sana pump kwa ajili ya shughuli za ufugaji samaki ..
Bei zake zikoje ndogo, na kubwa? Tafadhali!

Kiongozi wangu inatakiwa awe na Fundi ajue ukubwa wa KISIMA then atamwambia ni.Pump ya aina na Size gani itakayomfaa then ntakupa bei kwasababu bei zinatofautiana na ukubwa Karibu sana ndg yangu,,,!
 
Mkuu nahitaji SIM TAMK ya lita kama 10,000, bei yake itakuwa kiasi gani?

Mkuu wangu khs TANK zakuhifadhia MAJI mimi nauza aina moja tu ya KIBOKO bei yake ni Tsh 2,050,000/=kwa 10,000Ltrs Karibu sana
 
Back
Top Bottom