1. wireless PIR (Motion Detector),
faida: Hii itakusaidia katika usalama mali zako, garage, Nyumbani, vituo vya ujasiliamali vilivyombali hususani wakati wa usiku. Ikitokea mtu au kitu...
Zipo mbili kwenye Compound moja, Nyumba kubwa na Ndogo. Kubwa ina vyumba Vinne, chumba kimoja Self, indoor Toilet, Store, na Vyumba vitatu na Ndogo ina vyumba viwili pamoja na Choo.
Ina uwanja...
Wadau ninaomba msaada. Laptop yangu imepasuka screen so, nataka ku-replace. Nauliza kama kuna anayefahamu sehemu ambayo wanauza screen na ku-replace at affordable price hapa Dar es salaam. My...
Dippub na wengine
Hembi nipe data kama kuna nyumba ya kupanga maeneo ya Tabata Chang`ombe kwa mwezi 250,000.
Vyumba vitatu au Vinne, fenced.
Optional:-
Inaweza kuwa hata banda la vyumba idadi hiyo...
Kipo Kigamboni, amani gomvu
kiwanja kina ukubwa wa sqmt 1700
kiwanja kimepimwa na kina bicons kipo nyuma ya apaetmnts za sofia simba, sqmt 1 ni sh 10000, mazungumzo yapo..
akataye hitaji...
Habari wakuu, nahitaji commercial oven iwe ya umeme au gesi , deki moja, used au mpya, bei maelewano.Nikipata ya kukodi kwa miezi miwili itakuwa poa pia.Thanks..Ni pm
1. Iwe Mikocheni B. Iwe na vyumba viwili au vitatu vya kulala. Bajeti USD 1000 Kodi kwa mwezi.
2.iwe Msasani, Iwe na vyumba viwili vya kulala. Bajeti US $ 500 kodi kwa mwezi.
Ukiwa nayo...
Jipatie simu nzuri kabisa za Blackberry Curve 9320 na Blackberry Bold 9780 kwa bei poa ya elfu 90 kwa kila simu. Simu zote zipo katika hali nzuri kabisa na kila moja ina charger yake na headphone...
Natafuta frame kwa ajiri ya bishara ya vinywaji (pub,grocery au min bar) nitafurahi zaidi nikipata mitaa ya kipawa,airport,banana,majumba sita,njiapanda ya segerea au Mombasa ....
Nawasilisha...
Ni nyumba ambayo haijakamilika kama inavyoonekana pichani
iko chanika mjini mtaa wa makao makuu tarajiwa ya wilaya (vodp)
ni mtaa uliopakana na stendi ya chanika
eneo hilo kiwanja cha ujenzi...
Wadau salaam..nauza Samsung Tv 51 na 40 inches kama ifuatavyo na kwa bei poa sana...
1.Samsung 51 inches plastic display(pdp) series 4 mpya kwenye box ambazo ni ultra slim kabisa bei ni 1.5m...
Nyumba ya vyumba vitatu, kimoja ni master, dinning, sitting, jiko, store na public toilet. Garage kwa ajili ya kulaza gari, pia kuna parking ya kutosha, maji ni muda wote mpaka ndani, umeme ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.