Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,879
- 10,100
Dippub na wengine
Hembi nipe data kama kuna nyumba ya kupanga maeneo ya Tabata Chang`ombe kwa mwezi 250,000.
Vyumba vitatu au Vinne, fenced.
Optional:-
Inaweza kuwa hata banda la vyumba idadi hiyo ila viwe kwenye mpangilio mzuri tu.
Priority:Iwe karibu na Harvard EA School