njoo nkuuzie corola ltd 2.8 mln, manual.....itakufaa
ambayo naweza kuilipia kwa instalments isiwe aghali
mie ni fundi mechanics
akhsante
tena kwa kuwa jamaa ni fundi mechanic hiyo itamfaa kabisa.
Kiwese nusu galoni mambo saaaafiiiiiiii....
ambayo naweza kuilipia kwa instalments isiwe aghali
mie ni fundi mechanics
akhsante
mkuu hii vista inaenda kwa bei gani sasa? niko serious nataka sana hii gariNjoo nikupe hii Toyota VISTA iko safi sana
njoo nkuuzie corola ltd 2.8 mln, manual.....itakufaa
mkuu hii vista inaenda kwa bei gani sasa? niko serious nataka sana hii gari