Nyumba inauzwa Tshs Millioni 8

Nyumba inauzwa Tshs Millioni 8

McAnton

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
259
Reaction score
37
Ni nyumba ambayo haijakamilika kama inavyoonekana pichani

iko chanika mjini mtaa wa makao makuu tarajiwa ya wilaya (vodp)

ni mtaa uliopakana na stendi ya chanika

eneo hilo kiwanja cha ujenzi kinauzwa zaidi ya milioni 10

contacts: 0713565999 / 0767565999
 
Attachments

  • IMG_20141007_120841.jpg
    IMG_20141007_120841.jpg
    439.4 KB · Views: 819
  • IMG_20141007_120620.jpg
    IMG_20141007_120620.jpg
    453.9 KB · Views: 744
  • IMG_20141007_120815.jpg
    IMG_20141007_120815.jpg
    414.1 KB · Views: 682
  • IMG_20141007_120744.jpg
    IMG_20141007_120744.jpg
    566 KB · Views: 697
uwanja finyu sana huo, pia kama uswazi sana vile..., Chanika pande gani kule? Chukua tano, kama upo tayari PM
 
Ni nyumba ambayo haijakamilika kama inavyoonekana pichani

iko chanika mjini mtaa wa makao makuu tarajiwa ya wilaya (vodp)

ni mtaa uliopakana na stendi ya chanika

eneo hilo kiwanja cha ujenzi kinauzwa zaidi ya milioni 10

contacts: 0713565999 / 0767565999

vyumba vingapi vya kulala?
 
uwanja finyu sana huo, pia kama uswazi sana vile..., Chanika pande gani kule? Chukua tano, kama upo tayari PM

Tano hapana mkuu...mwisho kabisa 7.5M
 
Mc Anton,
Kwa chanika hii nyumba ni bei ya kutupa sio siri.
Yaani rahisi hadi naogopa.

Hembi niambie ukubwa wa kiwanja,ili kujua kama fance inakaa,maana maeneo hayo unaweza kununua kisha ukapangisha ukala pesa nzuri kwa mwenzi aiseee
 
Kwa kununua na kuimalizia ili upangishe panafaa sana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom