Boresha usalama wa mali zako kwa bei chee

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,882
Reaction score
5,896
1. wireless PIR (Motion Detector),
wireless.jpg
faida: Hii itakusaidia katika usalama mali zako, garage, Nyumbani, vituo vya ujasiliamali vilivyombali hususani wakati wa usiku. Ikitokea mtu au kitu kisichohusika kusogelea hapo.

bei:40000

updates: coverage ni hadi mita 13,

other features.
1. ina Innovative Octa-Quad™ technology ambayo inauwezo wa kumtofautisha mtu na wanyama wengine kama paka, wadudu na vitu vingine hivyo haina false alams.
2. prolonged battery life hadi miaka mitatu.
3. Anti Masking protection
ni cheap, easy to install,

zipo products zingine ambazo ni GSM enabled ambazo zaweza tuma hadi sms na alarm italia. kama kuna Intruder, au Mlango umefunguliwa(door monitor).
ni products cheap kila mtu anaweza keka nyumbani au kwenye biashara hususani wakati wa usiku.
kwa maelezo zaidi PM
 
Attachments

  • pir.jpg
    pir.jpg
    8.8 KB · Views: 144
  • door monitor.JPG
    door monitor.JPG
    160.2 KB · Views: 166
Maelezo yako hayajitoshelezi. Naona kuna ka-antena/arial inafanyaje kazi, Ukiwa mbali utajuaje-itarusha kwenye simu au itapeleka wapi signal?
 
Ni vema kutumia quickbooks kwaajili ya kutunza kumbukumbu zako za kifedha ili ujue kilichotoka na kuingia.
Kwa wale wanaohitaji QUICKBOOKS PRO 2014 (U.S.A) inapatikana sasa kwa laki moja na ishirini tu (120,000 TZS). Kwa walio nje ya Dar es Salaam tunawatumia kwa gharama zetu, mkiungana na kununua zaidi ya tatu bei inakuwa 100,000 tu. Hii ni quickbooks original utapewa CD ikiwa na keys zake. Wasiliana na huyu kwa taarifa zaidi: tonyhaule@hotmail.com
 
"Quickbooks Pro 2014" inahusianaje na "wireless PIR (Motion Detector)"?
 
BUKU JERO kuwa makini kwenye post zako,unaweza kuanzisha uzi wako bila kuingilia post ya mwenzio.
Quick book na Detector inakuwaje.

Haya mleta uzi hembu tuambie ina detect kwa umbali gani?
 
Toa ufafanuzi kinatumikaje

hii ni rahisi kuimpliment, haitumii umeme bali ina battery. unafunga nje ya nyumba au eneo ambalo utakuwa unaliangalia. inahisi mtu au intrusion yoyote inatoa alarm yenye hadi 110DB kwa umbali hadi wa eneo la mita 13.
unapata alart kwa alarm kwa hii simple design zipo nyingine ambazo ni GSM enabled zenye uwezo wa kutuma sms kwenye simu pia.
 
Maelezo yako hayajitoshelezi. Naona kuna ka-antena/arial inafanyaje kazi, Ukiwa mbali utajuaje-itarusha kwenye simu au itapeleka wapi signal?
hii ni rahisi kuimpliment, haitumii umeme bali ina battery. unafunga nje ya nyumba au eneo ambalo utakuwa unaliangalia. inahisi mtu au intrusion yoyote inatoa alarm yenye hadi 110DB kwa umbali hadi wa eneo la mita 13.
unapata alart kwa alarm kwa hii simple design zipo nyingine ambazo ni GSM enabled zenye uwezo wa kutuma sms kwenye simu pia.
 
BUKU JERO kuwa makini kwenye post zako,unaweza kuanzisha uzi wako bila kuingilia post ya mwenzio.
Quick book na Detector inakuwaje.

Haya mleta uzi hembu tuambie ina detect kwa umbali gani?

up to mita 13 karibu na subject yako, lakini pia unaweza kuiweka kwenye angle yenye kucover maeneo ya karibu. Mfano unanyumba umesafiri na hautegemei mtu kuingia. kama maeneo sio salama sana alarm itakayotoka inauwezo wa kualert majirani na kama unataka product ambayo ni inasupport sms utapata sms mkuu.
 
Hizo zinazosupport Sms bei gani? Za alarm atakimbia akisikia...mimi nataka nimkute ndani niseme Nae.
 
Back
Top Bottom