Kiwanja kinauzwa eneo la mbweni beach,karibu na kwa Halima Mdee panaitwa njia panda ulaya,ukubwa nusu heka bei 11 milioni bei inazungumzika usiogope,hakijapimwa kina hati ya kijiji tu.piga 0717567879
Habari wana jf nitafute nikupatie red and blue party cups ..kama vinavyoonekana kwenye hizo picha..ni glass zinazopendezesha sherehe mno...nitafute kwa maelezo zaidi jinsi ya kuvipata 0752976792.
Habari wandugu wangu wa JF! Kama kuna mtu anauza sofa ya watu wa tatu na kabati dogo la vyombo anicheck, nataka kupamba ka chumba kangu maana nishachoka kuishi kisela. Viwe katika hali nzuri na...
Rejea kichwa cha habar hapo juu natafuta typewriters kwa ajiri ya kufundishia.
Yeyete mwenye nazo au anamjua mwenye Nazi tuwasiliane kwa namba 0717411828.
Habari kiwanja kipo MBONDOLE ukipanda gari ya kwenda CHANIKA unashuka ITALIANI kisha unachukua pikipiki,watu washaanza kujenga kina ukubwa wa miguu 30 kwa 30.
maelezo zaidi 0789993883
Kiko Mkoa Wa Manyara Ndani Ya Manispaa Ya Babati Kata Ya Nangara Mtaa Wa Mkuyuni "A" Kina Eneo La 1995m.Sq. Kiko Pembeni Mwa Barabara (siyo Kuu) Na Kina Nguzo Za Umeme Na Bomba Kuu Ya Maji Ya...
rejea kichwa cha habari hapo juu! nahitaji samsung mini laptop offer yangu ni 220k
specification RAM isipungue 2gb na HDD 250 nakuendelea
mawasiliano: 0655-477748
Simu tajwa hapo juu naiuza, ili ninunue simu aina nyingine
simu ina nyufa kidogo kwenye kioo, ilidondoka haina tatizo lingine bado ipo kwenye hali nzuri kabisa.
Simu inakaa na chaji masaa kumi...
Habari zenu wote na kwa wakubwa shikamoo.Kwa wale/yule mwenye mahitaji ya kiwanja/viwanja kama unatoka Dar kwenda Kibaha upande wa kulia 5km kutoka ilipo Mizani.Maji yapo karibu na huduma ya umeme...
Wakuu nipo Dodoma ninauza Simu, Sony Experia M Duos, Almost new imetumuka kwa miezi miwili. Haina scratch yeyote.
Bei ni Tsh 200,000/-
Anaye hitaji anicheki kwa 0717781810.
Asanteni.
Wadau, kuna mpendwa mmoja beste yangu anahitaji chumba maeneo ya magomeni, isiwe tu ni kwa Mtogole. Bajeti yake ni 25,000 per month. Sasa wenye akili watasema ati ni mimi najipigia debe!! Kama...
Habari ndugu. Kwa yeyote mwenye muvies mpya na kali naomba tuwasiliane napenda muvies lakini sijui nazipataje, nipo tayari kuzilipia atakayependa kufanya hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.