American Ford Ranger Pick-up for only 28M

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,476
Reaction score
2,087
Habari wadau,
Kwakuwa huyu mnyama ndio kwanza kadondoka hapa mjini na bado ananukianukia
Umarekani naomba kwa ruhusa yenu, Ni-mnadi kwa ung'eng'e kama anavyostahili.

IMG-20140911-WA0025.jpgIMG-20140911-WA0023.jpgIMG-20140911-WA0023.jpg

Description

This is a 4*4 Ford Ranger, Year of manufacture is 2001 (Just arrived from USA)
Yellow in Color, Single cabin and LHD.(Left hand drive-type)
Odometer reads 177,000kM.
Petrol engine capacity of 3000cc.
With Sports tires & Rims.
It is as good as new.
Defects-free and ready to hit the road.

Sold for Tshs 28M. (Twenty eight million only)

*You will Love it at the first sight and even more after testing it.

Only serious inquiries invited.
 
Habari wadau,
Kwakuwa huyu mnyama ndio kwanza kadondoka hapa mjini na bado ananukianukia
Umarekani naomba kwa ruhusa yenu, Ni-mnadi kwa ung'eng'e kama anavyostahili.

View attachment 188723View attachment 188726View attachment 188726

ndugu uliyetoka marekani bongo hela ngumu mafuta bei juu
 
wajuzi wa hili gari spare zake zinapatikana kweli au manake naona kama ziko chache sana
 
Miles zaidi ya laki moja na zaidi kwa hapa marekani hiyo haizidi $6000,
Bongo spea itakuwa tatizo la hali ya juu na hiyo 3000cc!? Kila la heri ndugu.
 
umeonaeee.....28m??!! are you kiding me?
 
By Clueless14 Miles zaidi ya laki moja na zaidi kwa hapa marekani hiyo haizidi $6000,
Bongo spea itakuwa tatizo la hali ya juu na hiyo 3000cc!? Kila la heri ndugu.

Acheni Bangi nyie;
Mnajua Gari ya dola $2000 Japan garama yake hadi umeisajili Bongo inagarimu kiasi gani?

Ningeweza kuiuza kwa; Bei ya (kununua+$ 1) kama tu;
1. Angeinunua Mjomba wenu alieko huko Marekani,
2.Akampa Shangazi yenu kisha akaiweka kwenye mkoba wake na kusafiri nayo hadi ifike Tanzania.
3.TRA Akawa Babu yenu. Na
4.Bima akawa Mama mkwe wenu.

Mijitu mingine bwana ninawasiwasi kama kweli inatumia akili kufikiri.
 
niko kwenye mnada sasa wa magari sasa hivi hiyo gari ni dolla 1500 tu wanauza kulingana na ilivyotembea.
 
Acheni Bangi nyie;
Mnajua Gari ya dola $2000 Japan garama yake hadi umeisajili Bongo inagarimu kiasi gani?

Ningeweza kuiuza kwa; Bei ya (kununua+$ 1) kama tu;
1. Angeinunua Mjomba wenu alieko huko Marekani,
2.Akampa Shangazi yenu kisha akaiweka kwenye mkoba wake na kusafiri nayo hadi ifike Tanzania.
3.TRA Akawa Babu yenu. Na
4.Bima akawa Mama mkwe wenu.

Mijitu mingine bwana ninawasiwasi kama kweli inatumia akili kufikiri.

Kwa hiyo gari yako ya mil 28 imetoka japan au marekani? Mbona husomeki kaka? Pole ya atakaesokomezewa gari ya miles laki 5
 
Hiyo rangi tu ya gar ndo imeniudhi mi nlijua ka kampuni
 
Habari wadau,
Kwakuwa huyu mnyama ndio kwanza kadondoka hapa mjini na bado ananukianukia
Umarekani naomba kwa ruhusa yenu, Ni-mnadi kwa ung'eng'e kama anavyostahili.

View attachment 188723View attachment 188726View attachment 188726

Description

This is a 4*4 Ford Ranger, Year of manufacture is 2001 (Just arrived from USA)
Yellow in Color, Single cabin and LHD.(Left hand drive-type)
Odometer reads 177,000kM.
Petrol engine capacity of 3000cc.
With Sports tires & Rims.
It is as good as new.
Defects-free and ready to hit the road.

Sold for Tshs 28M. (Twenty eight million only)

*You will Love it at the first sight and even more after testing it.

Only serious inquiries invited.

mimi naitaka ila spare utakuwa unanitumia kwa miaka ishirini .
 
Kulikuwa hakuna haja ya kusema uongo sana!!!!

Muelewage jamani, Mimi nimekupa mfano hapo juu, na uzi unasema hii ni gari ya Kimarekani umesomea chini ya mti nini naona kuelewa kwako ni tatizo.
 
Umesema ndiyo "kwanza imedondoka bongo" (na namba CRU wakati sasa hivi zinatembelea na D!!!)na bado inanukia UMAREKANI?!! kubali kukosolewa bana, ndiyo biashara zenyewe za kutafuta cha juu zina changamoto zake.
-Kuhusu spare siyo issue, spare parts za ford zipo nyingi sana!
-cc 3000 kwa pickup ni sawa tu, anayelalamikia hilo basi atakuwa hahitaji pickup anahitaji vitz
-Bei kweli iko juu sana kwa gari hiyo, tena 2001! Double cabin yake ya mwaka na milage hizo market price si zaidi ya 20M, hiyo bei uliyotaja ni ya navara ya kuanzia 2005
 
Kwa hiyo hajui hata imetoka wapi?
 
Back
Top Bottom