Ninaflash na kutoa lock simu kwa bei rahisi sana

Ninaflash na kutoa lock simu kwa bei rahisi sana

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Ninaflash simu aina zote na kutoa lock simu aina zote kwa bei rahisi sana, mfano iphone zote jalbreak and unlocking ni elfu 30,000 tu....kwa kutumia imei inategemea na carrier wako..........simu zote za tigo na voda ni 12,000 tu. Huduma inatolewa kwa walio mbali na karibu . Nitafute kwa 0763969066 nikuhudumie.
 
simu yangu ni s3, afu imekuwa rooted na upgraded to 4.3. Tatizo lake ni kuwa imekuwa nzito sana na ram inatumika kubwa sana. Natamani kuirudisha iwe 4.2 afu ni instal custom rom. Unaweza kunisaidia, na kama ndio, bei je? Mi niko Chalinze.
 
Back
Top Bottom