Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wana jf, mwenye nayo vitz model 2000 nakuendelea no.b offer yangu 3.8m au no.c 5m ambayo iko safi body ndani no accident history. Vibali vyote vimelipiwa. Nitumie picha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina gari Nissan Patrol ninahitaji kubadilishana na mtu mwenye gari ndogo,Nissan hii iko kwenye hali nzuri, kama una gari ndogo iliyo nzuri na iko kweye hali nzuri basi tunaweza badilishana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
nina toyota gaia nyeupe nataka kufanya exchange na noah.. if latest imported nta top up pesa
0 Reactions
1 Replies
880 Views
huawei y 300 ina miez 3 toka kununuliwa inauzwa haina tatizo lolote npm for more information
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu wandugu kujulishwa ni mahala gani hapa Dar naweza pata huduma ya Apple service kwa ipad, iphone au Ipod touch? kuna namna zinanizingua mpaka computer yangu ime corrupt...msaada...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Ina vitu vyake vyote na haina matatizo,ila ni used. Bei ni laki mbili,mawasiliano 0719103278 Mwanza
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Wadau kwa yeyote mwenye duka hapa Tanzania, ama kwa yeyote mwenye kufanya biashara ya viatu, Raba hizi tuwasiliane kwa bei ya jumla tu kuanzia pieces 10... Bei ya chini kabisa, kina rangi tano...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Viwanja vinauzwa, Kigamboni kata ya kisarawe2. Mwasonga. viwanja vya size mita za mraba 800, Umbali kutoka Kibada ni 19km, mbele ya Dar es salaam zoo, BEI 7M Tsh. CONTACTS 0788 670 803, 0713 635022
0 Reactions
0 Replies
3K Views
nauza kopo la omega 3 lenye vidonge 300
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wakuu laptop inauzwa 340000tsh aina ya samsung hard disc 500 GB RAM 2GB ni nzima hajamaliza mwaka inauzwa kwa sababu jamaa angu ameitwa kwenye interview mwanza hana pes
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Kwa anayehitaji mashine ya TRA (EFD machine) afike ofisini kwetu, tupo kariakoo karibu na hotel ya tansoma au office za tigo tawi la nkurumah (kituo cha basi cha goldstar, gerezani). Ofisi zetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba iko nyakato - pembeni ya shule ya msingi gedeli,kiwanja cha nyumba ni 20 kwa 20,kuna kisima cha maji yasiyo na chumvi. Bei ni maelewano baada ya kuiona nyumba kwa watu wa mwanza. Piga simu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BODA BODA ZINAZOCHAJIWA NA UMEME ZINAPATIKANA SASA. NI IMARA ZINA GUARANTEE YA MWAKA MMOJA UKICHAJI FULL - ZINATEMBEA UMBALI KATI YA KM 80 NA KM 100 HAZITUMII MAFUTA KABISA ZIPO ZA ABIRIA WATANO...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Gari aina ya Nissan patrol inauzwa kwa MIllion 8, iko kwenye hali nzuri, au kama una gari ndogo iliyo nzuri na iko kweye hali nzuri basi tunaweza badilishana. Nitafute kwa 0763969066 kwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nyumba ya vyumba vitatu,kimoja ni master,jiko,sitting,dinning,store,maji 24/7 ipo ndani ya uzio kodi ni shilingi 500000 kwa mwezi ilipwe ya miezi sita au 450000 ilipwe kwa mwaka. mawasiliano...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nyumba ya vyumba viwili, kimoja ni master,jiko sebure,dinning na public toilet inapangishwa. iko tabata kimanga kodi ni 300000 kwa mwezi ilipwe kwa mud wa miezi 6 # 0714358610
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nyumba ya vyumba vitatu,kimoja ni master,sebure,dinning,jiko,store na public toilet. kuna garage ya ndani kwa ajili ya gari lako. parking ya kutosha,maji 24/7, pia imezungushiwa uzio. kodi ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Darproperty November edition, NOW OUT. Featuring: top real estate deals across East Africa. learn the steps for Rent to Buy options. Did you know it is much better to rent than to buy for...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wenye laptops za jumla tafadhali tuwasiliane..
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Back
Top Bottom