Px800 - epson for sale

Px800 - epson for sale

Nantes

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
544
Reaction score
144
Ninauza epson aina hiyo,kwa aliye serious ani pm
 

Attachments

  • px800-2.JPG
    px800-2.JPG
    9.9 KB · Views: 119
Weka namba ya simu tukupigie. Kwanza hiyo ni projector au nini? Sijui kama kuna kifaa kinaitwa EPSON
 
Weka namba ya simu tukupigie. Kwanza hiyo ni projector au nini? Sijui kama kuna kifaa kinaitwa EPSON
utajua mwenyewe swali lako unalouliza,jipange tena swali lako,na usiulize ujinga tena siku nyingine na ukijisikisia uliza tena ujinga wako
 
utajua mwenyewe swali lako unalouliza,jipange tena swali lako,na usiulize ujinga tena siku nyingine na ukijisikisia uliza tena ujinga wako

we unafanya biashara halafu una tukana watu,kua mvumilivu usije fukuza wateja kwa kukosa lugha mnato.
 
Kama wino wake ni ule wa vichupa, basi ni nzuri mno. Unauza bei gani mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom