Apple Support - Dar

Apple Support - Dar

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2009
Posts
3,413
Reaction score
2,276
Naomba msaada wenu wandugu kujulishwa ni mahala gani hapa Dar naweza pata huduma ya Apple service kwa ipad, iphone au Ipod touch? kuna namna zinanizingua mpaka computer yangu ime corrupt...msaada tutani pls
 
Hemu watafute Elite Computers; nadhani wataweza kukusaidia. Mawasiliano yao just google jina la kampuni yao, then you will be able to get their contacts.
 
Naomba msaada wenu wandugu kujulishwa ni mahala gani hapa Dar naweza pata huduma ya Apple service kwa ipad, iphone au Ipod touch? kuna namna zinanizingua mpaka computer yangu ime corrupt...msaada tutani pls

Nenda Mlimani city kuna apple shop
 
Back
Top Bottom