Vunja bei ya mwaka: Jumla tu, kuanzia Pisi 10

Vunja bei ya mwaka: Jumla tu, kuanzia Pisi 10

Ndg.MWASALEMBA.

Senior Member
Joined
Dec 18, 2013
Posts
141
Reaction score
280
Wadau kwa yeyote mwenye duka hapa Tanzania, ama kwa yeyote mwenye kufanya biashara ya viatu, Raba hizi tuwasiliane kwa bei ya jumla tu kuanzia pieces 10...

Bei ya chini kabisa, kina rangi tano kama zinavyooneka, size namba ni 40 mpaka 44.

Mawasiliano: 0713 430 630

Whatsapp: 0757430630.

Ahsante
 

Attachments

  • 1415370723057.jpg
    1415370723057.jpg
    36.1 KB · Views: 666
Nicheki katika simu boss wangu,utakaa ushindwe bei,zaidi ya cheapless!
 
Nicheki katika simu boss wangu,utakaa ushindwe bei,zaidi ya cheapless!

Acha mbwembwe tangaza bei kuna wengine tunataka pisi mbili ina maana hutatuuzia mdau acha kutukosesha fursa ndundundu si chururu.
 
weka bei bana,unauza vitu kwa siri hivyo kama unauza bangi bana,weka ya jumla na reja reja watu waamue moja
 
Jumla ipo hivi:
10 pairs and above, kila kimoja 35,000/=TZS...
 
Sihitaji dalali,na kama ukiwa dalali jiwekee chako cha juu...sio katika bei yangu!
 
Wadau kwa yeyote mwenye duka hapa Tanzania, ama kwa yeyote mwenye kufanya biashara ya viatu, Raba hizi tuwasiliane kwa bei ya jumla tu kuanzia pieces 10...

Bei ya chini kabisa, kina rangi tano kama zinavyooneka, size namba ni 40 mpaka 44.

Mawasiliano: 0713 430 630

Whatsapp: 0757430630.

Ahsante

Viatu vya kike hauna?
 
Kiongozi naomba nisaidie kuunganisha hizi picha ktk starting thread
 

Attachments

  • 1415449851606.jpg
    1415449851606.jpg
    86.6 KB · Views: 144
  • 1415449867353.jpg
    1415449867353.jpg
    89.3 KB · Views: 145
  • 1415449883758.jpg
    1415449883758.jpg
    90.3 KB · Views: 135
  • 1415449907499.jpg
    1415449907499.jpg
    83.4 KB · Views: 128
  • 1415449923570.jpg
    1415449923570.jpg
    121.5 KB · Views: 118
Back
Top Bottom