Nissan Patrol for sale or exchange

Nissan Patrol for sale or exchange

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Gari aina ya Nissan patrol inauzwa kwa MIllion 8, iko kwenye hali nzuri, au kama una gari ndogo iliyo nzuri na iko kweye hali nzuri basi tunaweza badilishana.

Nitafute kwa 0763969066 kwa maongezi zaidi.

 

Attachments

  • IMG_0031.JPG
    IMG_0031.JPG
    810.2 KB · Views: 110
  • IMG_0032.JPG
    IMG_0032.JPG
    949.2 KB · Views: 78
Iko vizuri kiasi gani mkuu? Mimi niko na Suzuki Vitara namba ni BHW Manual. Ukipenda tuwasiliane.
 
Iko vizuri kiasi gani mkuu? Mimi niko na Suzuki Vitara namba ni BHW Manual. Ukipenda tuwasiliane.

gari iko vizuri sana na haina tatizo lolote........hebu nitumie picha whtspp kwa hiyo namba juu niione
 
Biashara kweli matangazo, lakini matangazo basi yawe kamili ili kuokoa muda wa wateja wako watarajiwa.
 
Gari aina ya Nissan patrol inauzwa kwa MIllion 8, iko kwenye hali nzuri, au kama una gari ndogo iliyo nzuri na iko kweye hali nzuri basi tunaweza badilishana.

Nitafute kwa 0763969066 kwa maongezi zaidi.

attachment.php
attachment.php
attachment.php

Mkuu picha basi zaidi
 
Weka picha hata tusiojua kusoma tuelewe.
 
Back
Top Bottom