Hapa pia naomba waje wataalam wa
kuzichambua hizi Noah kwa faida ya sie
watumiaji.
Maana kuna
Liteace
Townace
Tourer
Nk
Zipi zenye kustahimili shurba ya kazi ngum na
rafiki wa mafuta
Wadau, nauza Rav 4 milango mitano, ya mwaka 1998 cc 1998 ipo katika hali nzuri sana. Sababu ya kuiuza imekosa mtumiaji hivyo tumeona si vizuri ikae bila kutumika. Bei 6M.
jamani natafuta simu tajwa hapo juu, used kwa bei ya laki 3, kama kuna mtu anauza tuwasiliane mimi kwa sasa nipo bariadi, kama upo musoma, mwnza, shinyanga naweza kuifuta bila shida tukielewana bei.
Wadau, nauza Rav 4 milango mitano, ya mwaka 1998 cc 1998 ipo katika hali nzuri sana. Sababu ya kuiuza imekosa mtumiaji hivyo tumeona si vizuri ikae bila kutumika. Bei 6M.
NATAKA LAPTOP YENYE SPECIFICATION
KAMA HIZI
RAM 4GB
HDD500
PROCESS 2.5 NA KUENDELEA
CORE i3 na kuendelea
BAJETI YANGU NI TSH.500000/= Asante Karibuni Kwa PM Pia Or Any Thing.
Habari zenu wana jf, mwenye nayo vitz model 2000 nakuendelea no.b offer yangu 3.8m au no.c 5m ambayo iko safi body ndani no accident history. Vibali vyote vimelipiwa. Nitumie picha...
Nina gari Nissan Patrol ninahitaji kubadilishana na mtu mwenye gari ndogo,Nissan hii iko kwenye hali nzuri, kama una gari ndogo iliyo nzuri na iko kweye hali nzuri basi tunaweza badilishana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.