Duh,mzee kama Kunguru vile,umeishatuaa,maana nilikuwa nakutafuta uje kwenye hili dili,maana ndio dili zako kama hizi.ipo nissan march kwa bei hiyo, nitafute 0716 002323
umeonae angekuwa yupo sirias ningetupia picha maana nimejarib kumtumia na sms hajajb! Habar za masiku mzima mkuu Zanz?Duh,mzee kama Kunguru vile,umeishatuaa,maana nilikuwa nakutafuta uje kwenye hili dili,maana ndio dili zako kama hizi.
Mtupie picha,kama ndio ile ataipenda